Toggle navigation
User Image diamondplatnumz Posted: Jan 15, 2018 9:45 PM (UTC)

FEED
105,428
2,430 Clarendon
ONLY PLAYERS KNOWS WHAT I SAW HERE...😊

More posts from this user

User Image diamondplatnumz Posted: Feb 23, 2018 5:53 PM (UTC)

34,848
2,010 Normal
Ndugu zangu wa ZANZIBAR!!! ningependa niwajuze kuwa JUMA NNE Hii ya Tareh 27/ 02 Team ya @wasafitv itakuwa pale NGOME KONGWE ZANZIBAR Kwenye Kuuanza Rasmi Mchakato wa Kuwatafuta Presenters ama Watangazaji wa @WasafiTv... Mchuano ambao Utakuwa Ukionyeshwa Ndani ya @WasafiTv.... Usiogope Kuhusu Elimu, jinsia, wala Umri... Muhimu Kujiamini.....Kumbuka #HiiNiYetuSote Watag watu wote unaowaamini Kwenye Kutangaza ZANZIBAR!... pia Usisahau kuweka kwenye Dp Logo ya @wasafitv kwa Ishara ya UpendoπŸ™
User Image diamondplatnumz Posted: Feb 23, 2018 12:23 PM (UTC)

53,367
5,469 Normal
laiti ningelikuwa na uwezo ningemuwezesha kila kijana mwenzangu aliyemtaani aweze kupata kazi.....lakini uwezo huo sina...lakini kwa nafasi ndogo niliyonayo najitahidi kadri ya uwezo wangu, kila niipatapo fursa niitumie vyema kuweza kusaidia na wenzangu...nikiwa miongoni mwa wanamuziki waliopata hatua fani, ninaamini nina deni kubwa kwa Wananchi, Waandishi wa Habari, Watangazaji, Sanaa na hata wasanii wenzangu, Maana naamini uwepo wao ndio Umenifanya niwe hapa...Hiyo ndio sababu kubwa ya mimi kufungua chombo hichi cha @WasafiTv nikiamini kesho na keshokutwa kitakuwa moja ya Mchango wangu katika Tasnia yetu na nchi kwa ujumla... Chombo ambacho kitaongeza Ajira kwa Wanahabari wetu, Watangazaji, Wahitimu wa Shule na Vyuo, Wenye Vipaji na kwapamoja tukashirikiana na Vyombo vyetu vingine vya habari nchini Kupeleka sana na Tamaduni zetu Mbali zaidi..... Mwenyez Mungu Ibariki nchi yetu, ibariki Sanaa yetu na na Vyombo vyetu vyote vya Habari..... Kwakuwa "hii ni Yetu sote"... kabla ya Kuwekea slogani/TagLine tuliyoifikiri...tafadhari wewe tuambie ungependa @wasafiTv itumie Slogan Gani....?
User Image diamondplatnumz Posted: Feb 23, 2018 7:11 AM (UTC)

50,741
782 Juno
Ijumaa Kareem from my Beloved brother @ricardomomo....Swala yako ya ijumaa unaisalia Mskiti gani leo....?
User Image diamondplatnumz Posted: Feb 22, 2018 12:55 PM (UTC)

131,041
9,304 Normal
-Record Label
-Wasafi Records
-Diamond Karanga
-Chibu Perfumes
WasafiDotCom
-Wasafi Studios
-Wasafi Tv
-Wasafi Fm
Pamoja na Uzuri Mliorithi toka kwa Mama zenu halaf Mkaenda kuniletea Wakwe Vijuso....Dah Mtanisikitisha sana...
User Image diamondplatnumz Posted: Feb 22, 2018 7:11 AM (UTC)

16,205
596 Normal
favorite Bedroom Song...... Nyimbo yangu Pendwa Chumbani......yani Hapo "Nyama zetu za Ulimi, zikikutana asali", kumekaa kama haya "Anzeni kula denda"πŸ™†β€β™‚οΈ...#ALELE @mbosso_
User Image diamondplatnumz Posted: Feb 21, 2018 10:13 PM (UTC)

21,042
707 Normal
User Image diamondplatnumz Posted: Feb 20, 2018 7:42 AM (UTC)

64,358
2,099 Normal
Good Morning toka kwa Muheshimiwa Balozi....πŸ™‹β€β™‚οΈ Asubuhi yako unaianzia wapi leo? @diamondkaranga
User Image diamondplatnumz Posted: Feb 19, 2018 6:46 PM (UTC)

55,509
6,575 Brooklyn
Pleae tell me, From your perspective which City has the best Radio and Tv Presenters...?
Eti nna swali...Hivi ni Mkoa Upi Una Vipaji sana vya Watangazaji?
User Image diamondplatnumz Posted: Feb 18, 2018 10:01 PM (UTC)

44,625
2,900 Normal
@jasonderulo ft @rayvanny @frenchmontana #TipToeRemix OUT NOW!!!πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯ #Wcb4life #BongoflevaToTheWorld #AfroBeats #Bongofleva Sema Msenge Ray Umetia Verse Humu, Doh!πŸ™†β€β™‚οΈ @rayvanny πŸ‘πŸ‘
User Image diamondplatnumz Posted: Feb 18, 2018 7:08 PM (UTC)

49,674
1,772 Normal
While we are Heading to the Official Release of #AboyFromTandale Album 16th March..... AMERICA!!!! SAVE THE MONTH AND CITIES for #AboyFromTandaleUSATour !!! from june 22nd to July 23rd..... for More booking cont: @dmkglobal @mr.ligate πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
(Kuelekea kwenye Kuachiwa Rasmi kwa Albam ya #AboyFromTandale Ndugu zangu Mlio Marekani Jiandaeni kwa Ziara ya #AboyFromTandaleUSATour mdani ya State hizo 12 kuanzia tareh 22/06 hadi 23/07 Mwaka 2018!! kwa Booking zaidi wasiliana na @dmkglobal @mr.ligate )
User Image diamondplatnumz Posted: Feb 18, 2018 2:47 PM (UTC)

43,962
3,710 Normal
User Image diamondplatnumz Posted: Feb 18, 2018 8:58 AM (UTC)

40,909
2,391 Normal
14th March NAIROBI / KENYA!!!
26 Days before the Reveal of #AboyFromTandale Album!!! One of my Favorite Track in the Album PRE ORDER NOW...Link in my BIOπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯Cc @safaricomltd
(Siku 26 kabla ya Kuachiwa Rasmi kwa Albam yangu ya #AboyFromTandale Albam ambayo naamini Ukiisikiliza Hautopenda kupeleka mbele hata nyimbo moja....Usikilizo wake wa kwanza Rasmi utafanyika Mjini Nairobi Nchini Kenya tareh 14 / 03 Maalum kwajili ya Wadau na Media Mbalimbali toka Barani Africa kuja Kuisikiliza kabla ya Kuachiwa Rasmi Traeh 16......kwa wakina sisi ambao Mambo ya itunes, Spotify na kadhalika sio yetu, Siku ya Kesho nitaweka Rasmi Namba ya simu na Utaratibu Maalum wa Kukuwezesha Wewe Mpendwa wangu wa dhati kuweza Kuipata Albam hii ya #AboyFromTandale Mkononi Mwako Kabla Hijatoka MtaaniπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯) Cc @safaricomltd
User Image diamondplatnumz Posted: Feb 17, 2018 2:11 PM (UTC)

93,421
4,733 Normal
Mwenyez Mungu aipe Nguvu familia ya Marehem na Kuilaza Roho yake Mahala Pema peponi Amin....πŸ™
User Image diamondplatnumz Posted: Feb 16, 2018 6:10 PM (UTC)

70,056
5,593 Normal
Unajua Nyimbo zingine Unaziimba ila Hata we mwenyewe zinakuingia Baadae😟.... Anyways 28 Days Before the Reveal of #AboyFromTandale Album!πŸ”₯ #SikoMi Bonus Track on #AboyFromTandale Available on All Digital Platforms now!
User Image diamondplatnumz Posted: Feb 16, 2018 11:08 AM (UTC)

67,435
10,741 Normal
Dah, Kuna nyimbo zingine ziliandikwaga jamani...Wadau Dua zenu Muhimu.... Maana naona kabisa mwezi wa Tatu Siuoni😭
User Image diamondplatnumz Posted: Feb 16, 2018 7:28 AM (UTC)

52,310
4,334 Normal
Hayo Mashairi Chaganya na Ua Jeusi...... Dah @mbosso_ naona Kama Ulintabiria Mdogo angu😭πŸ˜₯πŸ€¦β€β™‚οΈ
User Image diamondplatnumz Posted: Feb 15, 2018 4:11 PM (UTC)

30,536
1,015 Normal
Happy Birthday Mh @paulmakonda , Nafurahi jinsi usiku na mchana Unavyopambana kuhakiiisha unawasaidia wananchi wa hali ya chini... Neno Moja tu nikusihi:- Sio Kila mtu Atapenda, Ataridhika, ama kufurahishwa na uyafanyayo... Jifunze kukubaliana na hilo na kisha uendelee kufanya Kazi yako bora na Mazuri yako....
User Image diamondplatnumz Posted: Feb 15, 2018 1:31 PM (UTC)

83,320
2,105 Normal
29 Days Before #AboyFromTandale Revealed.... Sha! ya all aren't ready for thisπŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
User Image diamondplatnumz Posted: Feb 15, 2018 9:22 AM (UTC)

46,075
4,111 Normal
As we are about to Launch @wcb_wasafi Branch in KENYA...Please help me tag all the Kenyans Talented artits, you would like to be signed under @wcb_wasafi , starting with this one..... (Kama unavyofaham mwaka huu @wcb_wasafi tunafungua Tawi jipya nchini Kenya, Maalum kwajili ya kuendelea kunyanyua vijana wenzetu wenye Vipaji tokea mtaani.. tafadhali nisaidie kuwatag vijana wote wenye Vipaji kenya, akianziwa na Huyu...)
User Image diamondplatnumz Posted: Feb 14, 2018 7:41 PM (UTC)

48,965
3,713 Normal
Thank you so much @soundcityafrica i received my Trophy today... Thanks alot to my People for the Votes....Am Humbled & GratefulπŸ™ #AValentineGift