Toggle navigation
User Image diamondplatnumz Posted: Jan 15, 2018 4:09 PM (UTC)

FEED
63,077
2,245 Normal
am looking for a property to buy in #Kigali. My future new home for the Simbas! My Rwandese fam, any ideas....?
Ningependa kuwa na kakibanda Kigali, Rwanda, Maana ni moja ya nchi niipendayo... hivyo ningefurahi kuwa na moja ya makazi yangu hapo.... Eti ndugu zangu wa Rwanda ni maeneo gani huko panaweza nifaa....?

More posts from this user

User Image diamondplatnumz Posted: Feb 22, 2018 12:55 PM (UTC)

99,489
7,988 Normal
-Record Label
-Wasafi Records
-Diamond Karanga
-Chibu Perfumes
WasafiDotCom
-Wasafi Studios
-Wasafi Tv
-Wasafi Fm
Pamoja na Uzuri Mliorithi toka kwa Mama zenu halaf Mkaenda kuniletea Wakwe Vijuso....Dah Mtanisikitisha sana...
User Image diamondplatnumz Posted: Feb 22, 2018 7:11 AM (UTC)

13,153
556 Normal
favorite Bedroom Song...... Nyimbo yangu Pendwa Chumbani......yani Hapo "Nyama zetu za Ulimi, zikikutana asali", kumekaa kama haya "Anzeni kula denda"🙆‍♂️...#ALELE @mbosso_
User Image diamondplatnumz Posted: Feb 21, 2018 10:13 PM (UTC)

17,853
687 Normal
User Image diamondplatnumz Posted: Feb 20, 2018 7:42 AM (UTC)

62,011
2,069 Normal
Good Morning toka kwa Muheshimiwa Balozi....🙋‍♂️ Asubuhi yako unaianzia wapi leo? @diamondkaranga
User Image diamondplatnumz Posted: Feb 19, 2018 6:46 PM (UTC)

53,739
6,438 Brooklyn
Pleae tell me, From your perspective which City has the best Radio and Tv Presenters...?
Eti nna swali...Hivi ni Mkoa Upi Una Vipaji sana vya Watangazaji?
User Image diamondplatnumz Posted: Feb 18, 2018 10:01 PM (UTC)

43,231
2,848 Normal
User Image diamondplatnumz Posted: Feb 18, 2018 7:08 PM (UTC)

48,540
1,755 Normal
While we are Heading to the Official Release of #AboyFromTandale Album 16th March..... AMERICA!!!! SAVE THE MONTH AND CITIES for #AboyFromTandaleUSATour !!! from june 22nd to July 23rd..... for More booking cont: @dmkglobal @mr.ligate 🔥🔥🔥
(Kuelekea kwenye Kuachiwa Rasmi kwa Albam ya #AboyFromTandale Ndugu zangu Mlio Marekani Jiandaeni kwa Ziara ya #AboyFromTandaleUSATour mdani ya State hizo 12 kuanzia tareh 22/06 hadi 23/07 Mwaka 2018!! kwa Booking zaidi wasiliana na @dmkglobal @mr.ligate )
User Image diamondplatnumz Posted: Feb 18, 2018 2:47 PM (UTC)

42,750
3,677 Normal
User Image diamondplatnumz Posted: Feb 18, 2018 8:58 AM (UTC)

39,632
2,365 Normal
14th March NAIROBI / KENYA!!!
26 Days before the Reveal of #AboyFromTandale Album!!! One of my Favorite Track in the Album PRE ORDER NOW...Link in my BIO🔥🔥🔥🔥Cc @safaricomltd
(Siku 26 kabla ya Kuachiwa Rasmi kwa Albam yangu ya #AboyFromTandale Albam ambayo naamini Ukiisikiliza Hautopenda kupeleka mbele hata nyimbo moja....Usikilizo wake wa kwanza Rasmi utafanyika Mjini Nairobi Nchini Kenya tareh 14 / 03 Maalum kwajili ya Wadau na Media Mbalimbali toka Barani Africa kuja Kuisikiliza kabla ya Kuachiwa Rasmi Traeh 16......kwa wakina sisi ambao Mambo ya itunes, Spotify na kadhalika sio yetu, Siku ya Kesho nitaweka Rasmi Namba ya simu na Utaratibu Maalum wa Kukuwezesha Wewe Mpendwa wangu wa dhati kuweza Kuipata Albam hii ya #AboyFromTandale Mkononi Mwako Kabla Hijatoka Mtaani🔥🔥🔥) Cc @safaricomltd
User Image diamondplatnumz Posted: Feb 17, 2018 2:11 PM (UTC)

91,791
4,703 Normal
Mwenyez Mungu aipe Nguvu familia ya Marehem na Kuilaza Roho yake Mahala Pema peponi Amin....🙏
User Image diamondplatnumz Posted: Feb 16, 2018 6:10 PM (UTC)

69,450
5,573 Normal
Unajua Nyimbo zingine Unaziimba ila Hata we mwenyewe zinakuingia Baadae😟.... Anyways 28 Days Before the Reveal of #AboyFromTandale Album!🔥 #SikoMi Bonus Track on #AboyFromTandale Available on All Digital Platforms now!
User Image diamondplatnumz Posted: Feb 16, 2018 11:08 AM (UTC)

66,854
10,717 Normal
Dah, Kuna nyimbo zingine ziliandikwaga jamani...Wadau Dua zenu Muhimu.... Maana naona kabisa mwezi wa Tatu Siuoni😭
User Image diamondplatnumz Posted: Feb 16, 2018 7:28 AM (UTC)

51,917
4,324 Normal
Hayo Mashairi Chaganya na Ua Jeusi...... Dah @mbosso_ naona Kama Ulintabiria Mdogo angu😭😥🤦‍♂️
User Image diamondplatnumz Posted: Feb 15, 2018 4:11 PM (UTC)

30,017
1,012 Normal
Happy Birthday Mh @paulmakonda , Nafurahi jinsi usiku na mchana Unavyopambana kuhakiiisha unawasaidia wananchi wa hali ya chini... Neno Moja tu nikusihi:- Sio Kila mtu Atapenda, Ataridhika, ama kufurahishwa na uyafanyayo... Jifunze kukubaliana na hilo na kisha uendelee kufanya Kazi yako bora na Mazuri yako....
User Image diamondplatnumz Posted: Feb 15, 2018 1:31 PM (UTC)

82,795
2,104 Normal
29 Days Before #AboyFromTandale Revealed.... Sha! ya all aren't ready for this🔥🔥🔥
User Image diamondplatnumz Posted: Feb 15, 2018 9:22 AM (UTC)

45,615
4,078 Normal
As we are about to Launch @wcb_wasafi Branch in KENYA...Please help me tag all the Kenyans Talented artits, you would like to be signed under @wcb_wasafi , starting with this one..... (Kama unavyofaham mwaka huu @wcb_wasafi tunafungua Tawi jipya nchini Kenya, Maalum kwajili ya kuendelea kunyanyua vijana wenzetu wenye Vipaji tokea mtaani.. tafadhali nisaidie kuwatag vijana wote wenye Vipaji kenya, akianziwa na Huyu...)
User Image diamondplatnumz Posted: Feb 14, 2018 7:41 PM (UTC)

48,635
3,714 Normal
Thank you so much @soundcityafrica i received my Trophy today... Thanks alot to my People for the Votes....Am Humbled & Grateful🙏 #AValentineGift
User Image diamondplatnumz Posted: Feb 14, 2018 9:20 AM (UTC)

41,500
2,034 Normal
Happy Valentine kwa Aunties na Dada Zangu wote mnaonisupport Mimi, Familia na Team yangu.... Nawashkuru na Nawapenda sana💞💞
User Image diamondplatnumz Posted: Feb 14, 2018 9:02 AM (UTC)

48,493
1,263 Normal
Happy Valentine from @diamondkaranga to all My Beautiful Followers.....❤ #NogewaUshinde #TukutaneSheli
User Image diamondplatnumz Posted: Feb 13, 2018 4:56 PM (UTC)

17,036
557 Normal