Toggle navigation

Mall of America

User Image mkandamizaji Posted: Mar 19, 2018 5:27 AM (UTC)
12,548
187 Normal
Baada ya Church nikaenda kutembelea Mall kubwa kuliko zote hapa MAREKAN inaitwa MALL OF AMERICA (Hivi nikisema Mall wote mmeelewa kweli? Kuwa mkweli)
Mall ni kama Mliman City au Quality Center😀😉
SO HILI NDIO LIMAMA YAO ZOTE NA MAREKANI NA HIZO ZA BONGO NI VIJUKUU VYA HILI😂😂😂!!
#NawezaKujiongezaUnachokisemaKimoyoMoyo😀#
User Image kjustinger Posted: Mar 19, 2018 3:53 AM (UTC)
4
1 Normal
Too school for cool. ❤️❤️❤️

top 10 instagramers

top 10 hashtags