1,657 Posts

momokikah #Weekend mood#baada ya kuifanya kazi ya mungu# 3d

» LOG IN to write comment.

Normal Kirkross Amilli Ajele
amilli_254 Meru vibes#Baada ya kazi bar wat a limit 3d

» LOG IN to write comment.

Aden Nukannguaq L Rosing
nukankuark Ernera asasara #baada #myson #7year #babyboy 6d

» LOG IN to write comment.

bruchgucci Kwa wale mafundi wa kuhack acc za wa2 mhack tena@#BaAda yA PiC ZA chiPs CjUi UtAeKa nN TeNa 6d

» LOG IN to write comment.

gigy_nation_ #baada ya uchovu wa kazi this follos like na follow hii account upate zitu Vizuri punguza mawazo na story kari katka group la @its_misuguano upunguze mawazo unasubiri nin sasa tupia number yako @its_misuguano 1w

» LOG IN to write comment.

haithamkim #BAADA YA FULANI.... 1w

» LOG IN to write comment.

neema_ndepanya Watu wabaaaaaaad......mlichokifanya kwenye KIVURUGEEE nashukuruni sana....@chrintonyforealy @suzane_matola @koku_akilis hawa ndo supporting characters wa movie ya kivuruge soon kideoni kwako inasambazwa na SPLASH ENTERTAINMENT....#baada#ya#hii#inakuja#kobe#la#mchana#situnafanya#biasharatu#maneno#kwetu#sumu......USIKU MWEMA WOTE#UNTOUCHABLECREW 2w
  •   sechachayoa Yaani we acha bright anakutaja sana brenda pia 1w
  •   sechachayoa Brenda anamaliza la saba mwaka huu 1w
  •   sechachayoa Watoto wanakupenda napia wanakumbuka unavyowajali hawakusahau mai wii 1w
  •   cutie_jacque Picha tamu xn...KIVURUGE coming soon 1w

» LOG IN to write comment.

mohamedijunior #baada ya kumaliza kazi za kiofisi 3w

» LOG IN to write comment.

shunarobaty #baada ya kimya kilefuuu hayaaa sasa # unamjua me #Namjua #Namjua #Namjua 3w

» LOG IN to write comment.

ellydabway #baada ya usafi 3w

» LOG IN to write comment.

hamiskalla #Baada ya ibada ya ijumaa #chakula karbun #ma friend 4w

» LOG IN to write comment.

usipojipangantakupanga ##Baada ya ile trip yetu ya Ulugulu, Determined tour and business inakukaribisha tena pahala utakapofurahia zaidi week end yako. Si pengine bali ni Bagamoyo.** @Safari itaanzia Mwenge ambapo kutakuwa na usafiri wa bure kabisa kuanzia saa3:00 asubuhi siku ya tarehe #**30.04.2016**#
#Tutafahamu juu ya misikiti na wamisioni wa kwanza kuja barani Africa na Tanzania kwa ujumla#

#Wafahamu kuna kisima ambacho si chemichemi lakini hakikauki???#

#Wafahamu gereza la watumwa lafananaje?#

#Unafahamu jinsi babu zetu walivyodhulumiwa dhahamu kwa vikombe na sahan?#

#Ulishawahi kula konokono kama samaki? # ~~Naamini hufahamu yote hayo 😀. Usijali, tembea nasi ili tuyafaham kwa pamoja kwenye mji unaosifika kwa kutunza historia za kale~~ Mbali na hapo tutajionea Mamba 🐊na ukuaji wao kuanzia siku ya kwanza ya kuzaliwa hadi kufa kwao, nini wanakula, nini wanapenda na nini hawapendi🔆

@Hatutoishia hapo, tutapata nafasi ya kutembelea mji wa bagamoyo na kufahamu maisha yao 🕌na tamaduni zao, lakini pia tutapata nafasi ya kupumzisha akili kwenye fukwe 🏽, kuburudika kwa vyakula na vinywaji , mziki na kuogelea 🏽, na kupumzisha miili kwenye moja ya APARTMENTS maarufu mjini bagamoyo.

Package zetu ni kama zinavyoonekana kwenye tangazo.
1. 140,000/= "All inclusive"
2. 105,000/= "bila chakula"
5. 50,000/= "siku moja/ kwenda na kurudi"

Kwa kuweka nafasi;
0715129889 au 0762225002
Au tembelea ofisi zetu zilizopo Sinza mkabala na Hongera bar jengo la "Uchumi Project.

Kumbuka, ni bagamoyo tarehe
30.04.2016 hadi 01.05.2016 ~~~~~~USIKOSE~~~~~~
4w

» LOG IN to write comment.

big_boy_onely #baada ya interview @rayvanny on the sport kama ulikosa show hii angalia tena jumamosi sa 1asubuhi @mlimani tv@rayvanny@big boy onely@wcb#mlimani burudani live$mr exclusive 1mon

» LOG IN to write comment.

kimdollie_mdollie #baada ya kukataa kula# 1mon

» LOG IN to write comment.