Normal Judith Wambura Mbibo
jidejaydee Heri ya siku ya kuzaliwa
Happy Birthday
Bwana Ali
Mapenzi tele toka kwa dada mkubwa,
Sina mamlaka ya kubariki
Ila nikuombee mibaraka toka juu
Ifanye ikufurahishe
Isikuchukize
Siku yako
Amen
2d

» LOG IN to write comment.

Normal Judith Wambura Mbibo
jidejaydee Barking, London
United Kingdom
6d

» LOG IN to write comment.

Normal Judith Wambura Mbibo
jidejaydee 🏼🏼🏼🏼🏼 4w
  •   sianga_wilbard Umepotea kwenye game Jide 1w
  •   janefere post ata selfie dajide...miss u 1w
  •   bellamcute11 safi dad 1w
  •   melkizedeck125 WALIKUJA WAMEKUJA NA SASA WAMEPOTEA ILA WEW BADO UPO WEMA ULIOWAFANYIA UNATOSHA SASA FANYA YAKO NAKUPENDA TANGU ZAMAN ADI SASA UTABAKI NO MOJA KWANGU MBAKA JINA LAKO LITAKAPOANDIKWA MBINGUNI KUA WEW NI SHUJAA WAO WALIO MASIKIN UMEKUA UNAWATIA MOJA NA KUJIONA WAO WA THAMAN SANA ASANTE MAMA JUDITH POPOTE ULIPO NAJUA TUPO PAMOJA NA UMUNGU NDANI YAKO UMEMFUNDISHA MWANAO KITU KIKUBWA KINAITWA UVUMILIVU ANAISHI NA WATU VIZUR JAPO WABAYA HAWAISHI KUMUANDAMA ASANTE JUDITH NIMEJIFUNZA KITU JUU YAKO @jidejaydee 7d
  •   diyavan Nawakubar sana nyie wawili apo maisha marefu nawaombea....luv you 6d
  •   judymuyabi nakukubali somo wangu. 4d
  •   rama.omari.562 Makamanda wangu safiii sana 3d
  •   neemamasawe30 Dada magazet yashaanza kuandika uozo wao pumbavuu zao jide yuko juuu mshindwe na mregee kwendenii zenuuu 19h

» LOG IN to write comment.

1mon jidejaydee
Normal Judith Wambura Mbibo
jidejaydee TGIF 1mon

» LOG IN to write comment.

1mon jidejaydee
Normal Judith Wambura Mbibo
jidejaydee Kuwaweka karibu tu
Lakini sina lolote kwa sasa
Sina kabisa
Na sitakuwa nalo kwa kipindi kirefu saaaana
Yaani sina, sina, sina
Wapenzi huvuta subira
Mashabiki huhama hama
Wapenzi vuteni subira
#DumisheniAmani
1mon

» LOG IN to write comment.

2mon jidejaydee
Normal Judith Wambura Mbibo

» LOG IN to write comment.

2mon jidejaydee
Normal Judith Wambura Mbibo

» LOG IN to write comment.

2mon jidejaydee
Normal Judith Wambura Mbibo
jidejaydee Calm 2mon

» LOG IN to write comment.

» LOG IN to write comment.

3mon jidejaydee
Normal Judith Wambura Mbibo
jidejaydee Ni kweli sijasema
Ni kweli nimekaa kimya
Lakini siwezi sema tu
Endapo sina cha kusema
Mnaweza kuvumilia?
Kama ninavyo vumilia?
Napumzika tu
Sina cha kufanya ju
Mvumilie nitarudi sema
#SinaChaKusema
#SikoTayariKusema
#NitasemaNikiwaTayariKusema
#BingwaWaKujihami
#GutsOverFear
3mon

» LOG IN to write comment.

3mon jidejaydee
Normal Judith Wambura Mbibo
jidejaydee From late 90 's to the 20 's we still rock. Brunching at the Hyatt Kilimanjaro Hotel @sevenmosha @nitadaigle
#CuriousCaseOfBenjaminBurton
3mon

» LOG IN to write comment.

3mon jidejaydee
Normal Judith Wambura Mbibo
jidejaydee Making Peace With The Decisions I have Made In My Life. "New Era"
Turning a New Chapter In My Life
God's Speed
3mon

» LOG IN to write comment.